This single was released on 10 April 2020. The chords are in the original key of the song. You can change it to any key you want, using the Transpose option below. These chords are simple and easy to play on the guitar or piano.
Original Key: Gb Major Time Signature: 4/4 Tempo: 100 Suggested Strumming: DU,DU,DU,DU c h o r d z o n e . o r g [INTRO] Gb B Db Gb B Db [VERSE ONE] Gb Roho ingekuwa na macho ungejionea B Db Moyo haufanyi kificho ukiotea Gb Mimi kifigiso nacho ungeongea B Db Mwili wangu rojorojo nanyong’onyea Gb Chungu nilichopika wamepakua wenzangu B Db Huruma napokutishwa wamechukua wezangu Gb Na kitabu chetu cha mapenzi, kurasa wamechanachana B Db Hazisomeki tena tenzi, vimepoteza maana Gb Mpofu moyo wangu, ulishindwa ona B Db Hukuandikwa wa kwangu limenikaba nalitema www.chordzone.org [CHORUS] Gb Kwaru kwa kwaru kwaru Gb Kachukua kisu ye anaukwarua B Kwaru kwa kwaru kwaru Db Moyo wangu unaumia Gb Kwaru kwa kwaru kwaru Gb Ye kwa nguvu anaukwarua B Kwaru kwa kwaru kwaru Db Jamani moyo wangu unaumia [INSTRUMENTAL] Gb B Db [VERSE] Gb Eh langu tatizo Gb Nachuna najimaliza B Mi nakesha kumwaza Db Gb Naweweseka lake jina, ooh jina Gb B Oh basi kwa unyonge najikaza niache kulia Db Gb Maana kwake bahati sina, ooh sina Gb Maumivu ameipora furaha yangu B Db Gb Oooh amekwenda nayo Gb Na zangu mbivu zimeniozea B Db Gb Hasara kwangu, oooh yatapita hayo Gb B Mpofu moyo wangu, ulishindwa ona Db Hukuandikwa wa kwangu limenikaba nalitema www.chordzone.org [CHORUS] Gb Kwaru kwa kwaru kwaru B Kachukua kisu ye anaukwarua Kwaru kwa kwaru kwaru Db Moyo wangu unaumia Gb Kwaru kwa kwaru kwaru Gb B Ye kwa nguvu anaukwarua B Db Kwaru kwa kwaru kwaru Db Gb Jamani moyo wangu unaumia
Recommended for you: